Habari

Jumamosi, 12 Oktoba 2013

Uandikishaji wa Daftari la Kudumu waendelea Micheweni, Pemba

Saturday, October 13, 2013


 Maafisa  wa Uandikishaji wa Daftari la kudumu katika Wilaya ya Micheweni wakiwa na Vifaa vyao kwa safari ya kwenda Vituoni.
 Makarani wa Uandikishaji wakiwa wameshafunga Vifaa vyao kwa kuondoka kuelekea katika Vituo walivyopangiwa
 Makarani wa Uwandikishaji wa Daftari la kudumu huko Micheweni wakiangalia Vifaa vyao kama vimeshakamilika .
 Makarani wa Uandikishaji wa Daftari la kudumu wakiwa katika ghala la Vifaa vya ZEC, huko Micheweni wakiwa subiri kukabidhiwa vifaa vya Uandikishaji wa Daftari la kudumu linaloendelea Wilayani humo
 Maafisa wa Tume ya Uchaguzi  ZEC Pemba, wakiangalia Makarani wa Uandikishaji na kuhakikisha kila mmoja kapata Vifaa vyake kamili.





 Makarani wakipakia Vifaa vya Uandikishaji katika gari tayari kwa safari ya kwenda Vituoni .

 Mawakala wa Vyama mbali mbali vya siasa katika Jimbo la Tumbe wakiwa wamekaa kwa pamoja wakisubiri kazi ya Uandikishaji wa Daftari ianze.
 Wananchi wakisubiri kuandikishwa huku wakiwa wamesha maliza hatuwa ya mwanzo ya kuangaliwa katika Daftari kama hawajawahi kuandikishwa kabla.
Mwananchi akipigwa picha ikiwa ni hatuwa moja ya kusajiliwa katika Daftari la kudumu la Wapiga kurahuko Tumbe Micheweni.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni