Habari

Jumapili, 20 Oktoba 2013

Viongozi Wahafidhuna Amkeni Muiokoe Zanzibar

Zanzibar yetu jamani inateketea… huku viongozi wa CCM- Zanzibar hata mishipa haiwapigi, wamo wanalewa na kuleweshwa na madaraka.
Watanganyika wanamiminika Zanzibar kama nchi isiokua na wenyewe huku wahafidhuna ndio kwanzaaa wanaupigia debe na kuulinda muungano.
Hawa watu wameletwa Zanzibar with special mission na huko walikotoka wameshapewa guarantee kwamba pesa sio tatizo muhimu wafikie malengo and hit their goals nazo ni hizi:
* Kuhakikisha wanaibadilisha sura na haiba ya Zanzibar.
* Kuhakikisha kua ndani ya capital city ya Zanzibar (Stonetown) inajaaa watanganyika na nyumba zote zigeuzwe kua maduka ya vinyago, bar na madanguro ya ufuska ili mgeni akifika aone hio ndio hali halisi ya Zanzibar na wao ndio wazaliwa na vinyago ndio culture yetu.
* Kumwaga fedha nyingi kuwaondoa wazaliwa katika majumba na milango yote ya mjini ili watanganyika wachukue nafasi hizo.
* Kuzaliana kwa wingi ili sensa ijayo watanganyika wawazidi wazanzibari kwa idadi na hata chaguzi zijazo CCM ichukue madaraka kilaini.
* Kuuharibu na ikiwezekana kuutokomeza kabisa UISLAMU Zanzibar kwa kujenga makanisa kila pembe na maskuli yao (missionary schools) kama walivoagizwa na baba wao wa taifa Julius Nyerere.
* Kuhadaa watu vulnerables (maskini na wagonjwa) kwa misaada hii na ile, kwa madhumuni ya kuwatoa kwenye imani zao (Uislamu) na kuwabatiza kwa kuwaahidi kua watatasaidia kutokana na umaskini, shida au maradhi walio nayo.
* Kutumia kisingizio cha utalii kutuchafulia dini na khulqa zetu, mandhari , heshima na ustaarabu wetu bali hata utu wetu.
Hali ni mbaya sana jamani, Zanzibar,  na kwa hakika hawa wahafidhuna wanaoupigia debe muungano wajiandae na majibu mazuri ya kumjibu Allah huko twendako kwa ufisadi wanaoutuletea katika nchi yetu.
Sisi sote ni wachunga na Allah atakwenda kutuuliza juu ya tunavovichunga. Binaadamu anajidanganya kwa cheo na pumzi anasahau kua atakwenda kutia akili siku ikifika when there will be no turning back or way out. Hakuna body guard huko wala jeshi la kukutia kiburi ufanye au useme utakalo.
Mimi leo nimemsikia muheshimiwa Mohammed Raza akizungumza kwa uchungu jinsi Watanganyika wanavotudidimiza na kaitetea Zanzibar kiasi ambacho machozi yamenilengalenga thinking yalaiti tungepata viongozi kumi tu wa CCM- Zanzibar wenye msimamo kama wa Mh Raza basi kwa auwezo wa Allah nchi yetu ingekwamuka lakini wapii.
Hii mijamaa CCM-Zanzibar wanachojua wao ni ulafi na afisadi tu, they don’t think of the country our generations to come. Hawaoni mbali au atleast kuona right from wrong wao wamo tu kama vibua walotekwa kwenye senga au nyavu, wamezugwa na kuleweshwa kwa muangaza wa karabai.
Mfano huo ndio jinsi Dodoma wanavowarubuni CCM-Zanzibar kwa kuwapa vyeo na ruzuku mpaka kusahau utu wao na dini zao, muhimu tu mabwana Dodoma wameamua jambo fulani basi CCM-Zanzibar katu hawana opinion or say on the matter…lao ni HEWALLA BWANA tu.
JAMANI HII SI NDIO DESCRIPTION YA UKOLONI AU KUNA TOFAUTI GANI?
VIONGOZI NA WAHAFIDHUNA AMKENI MUIOKOE NCHI YETU BEFORE ITS TOO LATE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni