Kilimanjaro Stars imefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali na kuivua ubingwa, Uganda, The Cranes katika Michuano ya Chalenji inayofanyika nchini Kenya, ambapo Stars imevuka kwa mikwaju 3-2 huku kipa Ivo Mapunda akiwa shujaa.
Katika dakika 90 timu hizo zilitoka sare ya bao 2-2, Stars wakianza kuongoza kwa mabao mawili ya Ngassa, lakini Uganda wakasawazisha kupitia Sserunkuma (Dk ya 16) na Martin Mpuga (dk73)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni