Habari

Jumamosi, 21 Desemba 2013

MAMA TAPELI LINALOISHI KWA KUSINGIZIA WATU KESI JIRANI WAAPA KUMTIMUA!!

 
Mama msingizia kesi akiwa mahakamani Mbagala kizuiani
 Ama kweli ule msemo unaosema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaun  umemtokea mwandishi na mmiliki wa Blog  ya kiondo24habari.com baada ya kuwekwa ndani yeye na familia yake kwa madai ya kesi ya kuharibu  Matembele!! kesi hiyo iliyowaacha hoi wananchi wa maeneo ya Mbagala ilikua jumatatu hii iliyopita


 Moses Kishongo kijana aliyekodishiwa askari wa kumpiga akiwa ndani nae 

salama mama huyo akakataa ilipofika usiku akakodisha askari kutoka kigamboni wakamuingilia huyo kijana  wakamleta fujo sana wakataka kuvunja mlango ikabidi niongozane nae mpaka polisi kuulizia kama ni kweli wanamuhitaji kijana huyo  saa6 usiku hiyo! kituoni walionyesha kushangazwa na taarifa hiyo wakati mwandishi na kijana huyo wakiwa polisi askari hao ambao walikua wamelewa walikuja pale kituoni wakiomba askari wa zamu awape ruksa wamchukue yule kijana waondoke nae wanapojua wao wakamfunze adabu alafu watampa 10000 eflu ule askari  lakin yule askari akagoma ikabidi wale askari watumie nguvu kutaka kumkamata yule kijana waondoke nae yule askari kwa kuogopa akapiga simu kwa
 Mwandishi na mmliki wa blog hii ya  akiwa mahabusu ya mahakama ya kizuiani

tuliondoka nyumba nzima tukaomba jirani mmoja akawa analala kutulindia nyumba cha kuchekesha au kustaajabisha siku tuliyorudi usiku tukaletewa barua za mwito wa polisi kwa kua hatukujua nn tulichoitiwa tukaenda Polisi ya kizuiani mbagala ambapo ndipo tulipoitiwa! maajabu! kufika tunaambiwa nyie mmechuma matembele ya jirani yenu mmeyakata ikabidi tucheke maana hilo eneo linalosemwa ni eneo letu pia hakuna matembele eneo hilo bali huyo mama alionekana na Majirani akiwa na Askari mmoja na Dereva wa boda boda wakichuma Matembele eneo lingine kabisa na kuondoka na askari wake huku wakisema wamekwisha utawaona na uzungu wao  akimuhimiza yule askari aliekuja nae ahakikikishe tunalazwa ndani! Mama hiyo ambae wananchi wa maeneo a Nzasa  hawamtaki hata kumuona amekua ni Nuksi anaechokoza watu na kukimbilia polisi na mahakamani akiomba apatiwe hela ili afute kesi   

            Mama yangu mzazi akiwa mahabusu kwa kusingiziwa kesi na huyo Mama
Habari za uhakika nilidokezwa na karani wa Mahakama kua kua mama huyu ana kesi 6 mpaka sasa ambazo zinaendelea mahakamani hapo Mama huyo amekua akijisifu kua yeye yuko radhi kumpa penzi askari yeyote ili atimize sharti atakalo mpa  mwezi uliopita Mama huyu alienda kituoni akamfungulia kesi Jamaa anaekwenda kwa jina laMOSES KISHONGO akisema eti alimpiga  lakin OCD wa kituo cha Kizuiani akamwambia hii kesi mama haina mashiko tafadhali ishi vizuri na majirani zako futa hii kesi muishi 

Matembele ambayo mama huyo anasema yameharibiwa akitaka alipwe laki mbili

 mkuu wa kituo nzasa mkuu akasema hao vijana wajitete waondoke ndipo askari hao wakashindwa kupambana na kijana huyo ambae amejazia kimazoezi! lakini mama huyo hajakoma amekua akipeleka majirani polisi  hata kwenye ugonvi wa watoto ana mtoto wake mmoja wa kike amekua na tabia ya kugombania wanaume na wenzie Mama yake akisikia tu anawapeleka ndani hao watoto kama mwandishi nimeshuhudia kesi mbili za aina hio kesi nyingine ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho juu ya mama huyo alimu weka ndani Binti mmoja aliyekwenda kwake kumdai mwanae nguo aliyoazima kwa binti huyo!niliongea na majirani ambao kati ya majirani hao mmoja wao ndie alie wasidia kununua nyumba eneo hilo baada ya kufukuzwa Tandika walipokua wanakaa kwa tabia hizo hizo alisema anajuta ameharibu mtaa kwa kuleta mama huyo ambaye yeye mwenyewe ameasha kiona cha moto kwa mwanae wa kike kuwekwa ndani na mama huyo kwa mwanae kugombana na mwanae wa kike!nilienda kituon Charambe ili nitambue kama ana kesi ngapi ambazo labda zinaendelea kule Askari wa zamu alisema mama huyo kwa kweli amekua kero kwenye mtaa akashangaa na kusema jamnii yani yuko radhi hata umle ili amuweke ndani mtu anaye mtaka! alimaliza Askari huyo!!

CHANZO-kiondo24habari.com 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni