Mamlaka ya kuzuia rushwa na kuhujumu uchumi yakutana na wananchi Pemba
AFISA wa Mamlaka ya kuzuia rushwa na uhujumu wa uchumi Zanzibar Makame Hassan, akizungumza na wananchi wa mji wa Chakechake, kwenye mkutano wa wazi huko Tennis, ambapo mamlaka ilifika kutoa elimu kwa wananchi, kulia ni Afisa mwenzake nd: Mwanaidi Suleiman Ali, akifuatiwa na sheha wa shehia ya Madungu, Bibi Mafunda Hamad Rubea, akifuatiwa na sheha wa shehia ya Chachani Juma Khamis Mrisho (picha na Haji Nassor, Pemba)
CHANZO-ZNZNEWS
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni