Habari

Jumanne, 18 Novemba 2014

Wajasiriamali Kisiwani Pemba Wapata Mafunzo ya Usindikaji wa Matunda.



 Wajasiriamali mbalimbali kisiwani pemba wakipata mafunzo ya usindikaji wa matunda kutoka kwa Mtaalam akitowa mafunzo hayo kwa wajasiriamali hao katika ukumbi wa Chumvi Wawi Pemba.

Wajasiriamali mbali mbali Kisiwani Pemba, wakishiriki katika mafunzo ya usindikaji wa zao la Tungele , iliowashirikiosha Wajasiriamali mbalimbali wa kisiwani Pemba walipata mafunzo hayo kwa vitendo kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa chumvi wawi (Picha na Meibaku Molel TSJ Pemba)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni