Habari

Jumatano, 16 Oktoba 2013

Dkt. Shein Ahutubia Baraza la Eid El Hajj


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akiwasili viwanja vya Chuo Kikuu Tunguu kuhudhuria sherehe za Baraza la Eid El  Hajj.

 Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, akiwasili viwanja vya Baraza la Eid Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
 Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume akiwasili viwanja vya Chuo Kikuu Tunguu kuhudhuria sherehe za Baraza la Eid El Hajj, kitaifa limefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serekali na Dini wakisikiliza Quran iliosomwa katika ufunguzi wa sherehe za Baraza la Eid. Tunguu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akihutubia katika Baraza la Eid El Hajj, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.

 Viongozi wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya Rais wa Zanzibar aliokuwa akiitowa katika Baraza la Eid El Hajj ukumbi wa Chuo cha SUZA Tunguu.


 Viongozi wa Serkali na wa Dini wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar, katika ukumbi wa SUZA Tunguu.
                   Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar wakati wa Baraza la Eid El Hajj.
 Mdaub wa habari Zanzibar Munir Zakari akifuatilia hutuba hiyo ili kuweza kuripoti uziri katika chombo chake cha habari.
 Naibu Mufti wa Zanzibar Shekh. Mahmoud Mussa, akisoma Dua baada ya kumalizika kwa hutuba ya Baraza la Eid El Hajj.
 
 

  

 

CHANZO-http://www.zanzinews.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni