Jose Mourinho alitoka nje wakati wa mkutano na waandishi wa habari kabla ya mechi “pre-match press conference” ambayo Chelsea’s itakutana na Steaua Bucharest katika mchezo wa pili wa Uefa.
Mourinho alikasilishwa na maswali yaliokuwa ya waandishi a habari juu ya kiungo mshambuliaji wa Ubeligiji Kevin De Bruyne kutokuwepo kwenye kikosi cha Chelsea kilichosafiri kwenda Romania huku maswali mengi yakielekezwa kwa kitendo chake cha kumuweka nje Juan Mata kwenye mechi nyingi za ligi hivyo kuleta malumbano baina ya wapenzi wa timu ya Chelsea.
Jose alisema amechoshwa na maswali mengi kuhusiana na uamuzi wake wakumuweka nje Juan Mata pia hataki kuzungumzia juu ya De Bruyne hivyo hawezi kuendelea kuwepo kwenye kikao hicho na aliamua kuondoka.
Jose alisema “This is fantastic because no one asks me about [Juan] Mata. You have spoken about Mata for three weeks. Now you’re asking about Kevin,” he told reporters.
“You are interested in the players who are not playing. He was not selected. It was my decision. Only 11 can play and I tried to decide, by what they do on the pitch when they play and in training.
“I try to be honest all the time. I was honest with Juan because of what he’s done in training and what he’s done in the game he played, and so he plays.
“With Kevin I didn’t like the match he played against Swindon [in the League Cup], and I didn’t like the way he was training.
“But you only ask about the guys who were not selected. Thank y
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni