USAFIRI huu ni hatari kwa wananchi wanaoishi katika visiwa vidogo vidogo, hivyo ipo haja kwa Serikali na wafadhili mbali mbali kujitokeza kuweka huduma ya usafiri wa uhakika kwa wananchi hawa, Pichani ni wananchi wanaoishi katika kisiwa cha Fundo wakielekea Mjini Wete kwa ajili ya kupata huduma muhimu za kijamii. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni