MTOTO WA MIEZI KUMI ANAZUNGUMZA KIARABU,KIINGEREZA NA KISWAHILI AWATAKA WAZANZIBAR KUKITHIRISHA DUA YAANI KUOMBA SANA MUNGU KWANI HUKO TUENDAKO WATU WENGI WATAKUFA ZNZ NA TZ KIUJUMLA.
MTOTO HUYO Anadaiwa kuanza kusema toka akiwa na mezi miwili amezaliwa huko mkoa wa kaskazin Unguja wilaya kaskazin A eneo la Kivunge.
Anamtaja sana mungu mama mzazi alikuwa akificha vituko vyote vya mtoto huyo lakini hali ilizidi kuwa mbaya kwake mtoto alipomtaka atangaze na alipokaidi mama alikuwa akikutana na vituko vingi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni