Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sada Mkuya,Mbunge wa Vipi Maalum(CUF) Rukia Kassim),Afisa Mzamini Wizara ya Miundominu na Mawasiliano Pemba Hamad Ahmed Baucha, na Mbunge wa jimbo la Chonga(CUF) Gharroub Shamis) wakiangalia michoro ya barabara tano za Mkoa wa Kaskazini Pemba zinazojengwa na kampuni ya H.Young.
Naibu waziri wa Fedha wa Tanzania Sada Mkuya akipokea maelezo ya ujenzi wa barabara ya Kangagani kutoka kwa Mkandarasi wa ujenzi wa barabara tano za Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Mbunge wa vipi Maalum(CUF) Rukia Kassim na Mhandisi Rajab Mbarouk wa Ole wakimsikiliza mmoja ya watengaji wa vizara ya fedha walipofanya ziara pamoja na Naibu waziri wa fedha kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Barabara tano Mkoa wa Kaskazini Pemba.Baadhi ya picha za ziara ya Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Sada Mkuya alipokuwa ziarani kisiwani Pemba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni