Katibu mkuu wa EAC Richard Sezibera amesema hiyo ndio pekee ya kuaharakisha maendeleo ya harakati za kibiashara za eac.
Sezibera anasema changamoto kuu ya nchi wanachama katika kutekeleza sheria mpya za soko huru za utangamano wa kibiashara ni ukosefu wa fedha za kutosha na miundo mbinu duni.
Eac ilipitisha sheria ya soko huru ambayo bado inajikokota kutokana na kukosekana kwa usawa wa kifedha pamoja na vikwazo vingine.
Baadhi ya mapendekezo mengine ya kuongeza fedha za jumuiya hiyo ni kuanzishwa kwa sheria ya nchi wanachama kutongeza ushuru kwa raia wake hatuaamabayo Kenya na Rwanda pekee zimeanza kutekeleza.
Sheria hii aidha itatumika kuweka mikataba ya kifedha baina ya nchi mbili zinazofanya biashara.
Kenya imetenga shilingi bilioni 40 za kuhasisha umuhimu wa utangamano wa jumuiya ya EAC.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni