Wafanyakazi wa zima moto wakiwa kazini katika ajali ya Treni katika jiji la NY.
Kati ya vitu anavyokumbana navyo Mayor mpya ni kama hivi snow ikianguka kuhakikisha inaondolewa ontime na kupunguza kero za wakazi wa jiji la wasiolala New York City. Hii ilikuwa kali ya mwaka ilitokea 2010 na kusababisha watu kutokwenda kazini kwa 2 days kwasababu ya snow kumwagika na kusababisha kutokuwa na shughuri zozote ndani ya jiji la NY.
Treni iliyoua watu wa nne na kuacha majeruhi 60 na change NY katika eneo la Bronx NY, Chanzo cha ajali hii inasemekani ni speed na mbaya zaidi ilikuwa kwenye corner. Ni mtihani wa kwanza kwa Mayor mpya wa New York Bill de Blasio. Treni hii ni moja ya treni zinazojulikana kwa jina la Metro North, Metro North ni tofauti na zile treni za ndani ya Jiji zinazofanya kazi 24/7 maarufu kwa jina la subway zinazopita chini ya ardhi. Treni za Metro North utumiwa zaidi na watu wanaoishi nje ya NY lakini ufanya kazi zao ndani ya NY. Tunashukuru hadi sasa hatujasikia kama kuna mtanzania yeyote alikuwa ndani ya treni hii kwani wapo ndugu zetu pia wanaotumia usafiri wa treni hizo za Metro North kuingia na kutoka ndani ya jiji la NY.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni