MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Idd akizungumza na wananchi wa kibokoni Vitongoji wilaya ya Chake Chake, mara baada ya kukagua shamba darasa lililopandwa mpunga kitaalamu .(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Balozi Seif Ali Idd,
kionyesha moja ya mikarafuu iliyonawirika vizuri, wakati alipotembelea shamba
la mkulima Muhine Ali Saidi, huko Tumbi Wambaa wilaya ya Mkoani, katika ziara
yake kisiwani Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni