Habari

Jumapili, 19 Oktoba 2014

AJINYONGA HADI KUFA BAADA YA KUPATA MAJIBU KUWA ANA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMW


Mwili wa marehemu Issa ukiwa umebebwa kwa kupelekwa mochwari atika                     hospitali ya mkoa wa Shinyanga .          

 Ngugu Issa Ramadhani  (36)  mkazi wa majengo Manispaa ya Shinyanga ameamua kuchukua jukumu la kujinyonga  chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa  kwenda kupima na kuonekana majibu kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi, kabla ya kujinyonga kwake kwa kutumia kamba ya katani  alimtuma mkewe kwenda kwa wazazi wake  huku nyuma akachukua jumkumu la kujinyonga huku akicha ujumbe wa maneno kuwa  NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya mkononi  ikiwa kitandani 

Mwili wakiutoa nyumbani baadhi ya majirani na kuupeleka kwenye gari la polisi tayari kuusindikiza mpaka mochwari kuhifadhiwa huku wakisubiriwa ndugu na jamaa kufanya taratibu za mazishi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni