Habari

Jumatano, 5 Novemba 2014

VYUNGU VYOMBO VYA ASILI VYA KUPIKIA BADO VIENDELEA KUTUMIKA BAADHI YA MAENEO VISIWANI ZANZIBAR.

 Mikungu ya udogo ambayo haijachomwa moto kwa ajili ya kuanza kuuzwa na kutumiwa.




 Baadhi ya akinamama wanaofanya kazi za mikono ya kutengeneza mikungu,vyungu na vietezo huko katika kijiji cha Pembeni,Shehia ya Ziwani Wilaya ya Chake Chake wakiendelea na kazi ya kutengeneza mikungu huko katika kijijini kwao.
Baadhi ya vyungu vya udongo vilivyokwisha chomwa moto vikiwa ndani vikisubiri wateja huko katika kijiji cha Pembeni shehia  ya Ziwani Wilaya ya Chake Chake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni