Jumanne, 16 Desemba 2014
PICHA ZA MAHAFALI YA 14 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI CHA TIMES SCHOOL OF JOURNALISM(TSJ)
Baadhi ya wahitimu ya Diploma ya uandishi wa Habari wa chuo cha Uandishi wa habari wa Chuo cha Time School of Journalism Campus ya Pemba wakiwa katika mahafali ya 14 ya Chuo hicho yaliyofanyika Msimbazi Center jijini Dar-es salaam.
Wahitimu wa uandishi wa Habari wa Chuo cha TSJ wakiwa katika sherehe za mahafali huko jijini Dar-es salaam.
Wa pili ni mwandishi wa Zenj FM Redio akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa chuo cha uandishi wa habari wa Dar-es salaam na campus ya Pemba katka mahafali ya 14 ya chuo hicho.
Baadhi ya Wahitimu wa uandishi wa habari katika chuo cha TSJ wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi na uongozi w chuo hicho katika mahafali yaliyofanyika huko Msimbazi Centre Dar-es salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni