Afisa Mzamini Wizara ya Katiba na Sheria Mw. Omar Khami ambaye alikuwa mgeni Rasmi katika wiki ya Juma la elimu ya watu wazima Kisiwani Pemba mwenye kofia pembeni yake ni Afisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Mw. Mattar.
Wanafunzi wa Skuli yaAlhamis Camp inayomilikiwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania kambi ya Alhamis Camp wakitoa burudani katika sherehe za Wiki ya Juma la Elimu ya watu wazima Madungu Chake Chake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni