Habari

Jumanne, 24 Septemba 2013


WANAFUNZI wa skuli ya Alhamis Kempu, inayomilikiwa na JWTZ kisiwani Pemba, wakishiriki kwenye maandamano ya kilele cha maadhimisho ya Elimu Bila ya Malipo, yaliyofanyika katika kiwanja cha Gombani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ali Juma Shamhuna, akiwakabidhi wanafunzi zawadi wanafunzi wa skuli ya Michakaeni B, waliosoma hadithi ya Zero, katika maadhimisho ya kilele cha Elimu Bila ya Malipo Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

WASOMAJI utenzi Fatma na Halima wakiuhani utenzi wao katika kilele cha maadhimisho ya elimu bila ya malipo, yaliyofanyika katika kiwanja cha michezo Gombani kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

MIONGONI mwa wanafunzi walioshiriki katika maandamano ya kilele cha maadhimisho ya Elimu Bila ya malipo, wakiwa na bango lao maadhimisho hayo yaliyofanyika Gombani kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ali Juma Shamhuna, akiwahutubia walimu na wanafunzi kutoka skuli mbali mbali za mikoa mitano ya Zanzibar, katika kilele cha maadhimisho ya elimu bila ya malipo yaliyofanyika Gombani kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman)




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni