Tunaelekea Ikulu, tumeshakunywa kabisa chai majumbani mwetu ili WASIRA asijekusema tumefuata chai.
Tunataraji majadiliano ya viongozi wakuu wa vyama na Rais yataleta mabadiliko makubwa yenye tija katika mchakato wa katiba, lengo letu ni kuhakikisha watanzania wanapata katiba ya wote na si ya CCM.
Ikiwa Rais hatachukua hatua tuboreshe mchakato huu TUTARUDI KWA WANANCHI kwani wao ndiyo wenye mamlaka juu ya kila kitu.
J. Mtatiro,
Mwenyekiti wa Kamati ya Ushirikiano wa vyama vya CHADEMA, CUF na NCCR.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni