BALOZI SEIF AENDELEA NA ZIARA YAKE SEATTLE
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akibadilishana mawazo na Mawaziri wake aliofuatanao nao katika ziara yao Nchini Marekani. Kushoto yake ni Mh. Nassor Ahmed Mazrui Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko na kulia yake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni