Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Haji Omar Kheir, akizungumza na vijana wanaoishi katika soba house ya limbani Wete, kabla ya kukabidhi ahadi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, Mh Dk Ali Mohamed Shein, kuwapatia wakati alipowatembelea vijana hao
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Haji Omar Kheir,akimkabidhi LAPTOP mbili (2), mdhamini wa vijana wanaoishi katika nyumba ya Soba House ya limbani wete, Abdullwadi Salim, ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, Mh Dk Ali Mohamed Shein, kuwapatia wakati alipowatembelea vijana hao
CHANZO -PEMBANZURI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni