Jumatano, 13 Novemba 2013
Mkulima aomba kuwezeshwa kutimiza azma yake ya kuanzisha msitu wa hifadhi.
Mkulima wa Said Hamad Malik wa Kiuyu Kigongoni akiwa katika shamba lake la kutika vitalu vya miche ya miti mbali mbali ikiwemo miche ya mikarafuu.
Baadhi ya miche iliyoatikwa na Mkulima Said Hamad Malik huko Kiuyu Kigongoni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Mkulima Saidi Hamad Malik wa Kiuyu Kigongoni akiwa katika kazi za kusafisha katika moja ya vitalu vyake vya mikarafuu huko shambani kwa Kiuyu, hata hivyo amesema anakabiliwa na changamoto za kukosa utaalamu wa kutosha pamoja na fedha.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni