Habari

Jumanne, 3 Desemba 2013

Tume ya uchaguzi ya Madagascar imetoa wito wa kufanyika kwa duru ya pili ya uchaguzi wa rais na kuwataka wagombea wote kuheshimu sheria za uchaguzi. Kwenye duru hiyo, Bw Jean Lous Robinson anatarajiwa kupambana na Bw Hery Rajaonarimampianina tarehe 20 Desemba. Wagombea 2,052 pia wanatarajiwa kushiriki kwenye uchaguzi wa wabunge nchini humo. Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC imetoa msaada wa dola za kimarekani milioni 2.2 kusaidia mchakato huo wa uchaguzi.

Tume ya uchaguzi ya Madagascar imetoa wito wa kufanyika kwa duru ya pili ya uchaguzi wa rais na kuwataka wagombea wote kuheshimu sheria za uchaguzi.




Kwenye duru hiyo, Bw Jean Lous Robinson anatarajiwa kupambana na Bw Hery Rajaonarimampianina tarehe 20 Desemba.

Wagombea 2,052 pia wanatarajiwa kushiriki kwenye uchaguzi wa wabunge nchini humo. 

Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC imetoa msaada wa dola za kimarekani milioni 2.2 kusaidia mchakato huo wa uchaguzi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni