BARAZA LA MJI CHAKE MUPO LAKINI?AU MUKO BIZE NA KUKUSANYA MAPATO.Hili ni eneo la Miembeni Chake Chake eneo la maduka na ni njia wanayoitumia watu kwa shughuli zao za kila siku,hapa hakuna mvua isipokuwa ni maji ya karo kuna chemba moja inavujisha ila sijui kama wenye mji wapo maana na zaidi ya wiki moja sasa tangu nilione mimi tu hili suala.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni