Habari

Jumatatu, 25 Novemba 2013

Dk Malik Abdullah Juma ajeruhiwa jijini Nairobi , Kenya

Dkt. Malik Abdallah Juma akiwa amelazwa hajitambui katika hospitali ya Taifa ya Kenya.

Mkurugenzi Mkuu wa wizara ya afya Zanzibar na  Daktari Bingwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, amelazwa katika hospitali ya Kenyatta jijini Nairobi baada ya kujeruhiwa vibaya na majambazi.
Dkt. Malik alikuwa Nairobi kikazi na alipotea tangu Ijumaa iliyopita na hakukuwa na mawasiliano nae, wahusika wa hoteli aliyofikia pia hawakuwa wakifahamu alipo mgeni wao.
Chanzo: Jamii Forums

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni